carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sijambo jiranijirani yuko wako wapiiiii........
hajambo jirani
Sijui wewe
Sijambo jiranijirani yuko wako wapiiiii........
hajambo jirani
Mnakwenda wapi?Tutafika tu
Game imeisha hii Numbi nasubiri draw ya semi final naona Madrid wanakujaLeo katika Uwanja wa Etihad mjini Manchester, vijana wa mji huo Manchester City wanawakaribisha vijana kutoka mjini Liverpool.
Ni katika mchezo wa marudiano robo fainali ya mabingwa Ulaya ambapo kwa hakika Man City wana kibarua kizito sana kwani wanatakiwa kuifunga Liverpool bao 4-0 maana mechi iliyopita, Man City walibamizwa 3-0 pale Anfield mjini Liverpool.
Kiungo wa City, Fernandinho mwenye umri wa miaka 32 anasema lile juma gumu lililowakabili la kuchapwa kila walikoenda sasa limeisha na ni wakati sasa wa wachezaji wazoefu kuchukua nafasi yao na kuliongoza Jahazi.
Tangu Man City walipopoteza pale Anfield jumatano, pia katika ligi walichapwa 3-2 na Manchester United.
Liverpool ilifunga mara tatu ndani ya dakika 19 za kipindi cha kwanza katika mzunguko wa kwanza.
Huko majuu season ya winter imeisha sasa wanaingia spring season. Huku Kenya season ya maembe imeisha sasa tunaingia season ya Avocado na mimba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sera za Nyerere hizo enzi zileeee !!!Hii sijui kama kweli
Piga kura jiraniduh!
Hujambo wewe Mimi wa mkoani du na Mimi natafutwa nini[emoji23][emoji23][emoji23]halafu yasemekana ni wanaume wa mikoani ndo wametelekeza familia zao dar
Kura yangu unayo jirani....duh!
Ndio ya kibantu hiyo tuizoee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona inatisha hivi?[emoji23][emoji23]
Material ikoje sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo unayosema wewe ni rangi[emoji28] anamaanisha material.
Labda manufacturer ni kampuni inayomilikiwa na Mshana Jr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha!! Sema vimekodoa sana macho..
Unataka kura yangu?[emoji28][emoji28][emoji28], jamani
Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu 75 years kwa waliopendelewa ukiongeza kumi moja ni 85 lakini now days ,peoples dying to youngHapana maisha marefu na ni matamu sana!
AsanteNawe pia
Ubuyu ama?Watu wenye Majungu. Wengine hushinda kwenye dawati la mfanyakazi mwenzie akipiga soga na kusahau kazi yake.