Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

E890F9B5-63D4-4171-8C04-116685499F36.jpeg
Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu 75 years kwa waliopendelewa ukiongeza kumi moja ni 85 lakini now days ,peoples dying to young
Mwandishi alivyoweka hiyo miaka alikuwa kwenye deep distress!
Kumbuka Ufalme wa Mbinguni uko ndani yako!
Chochote utakacho amini ndicho kitakacho kupata!
 
HIVI MNAIKUMBUKA HII...? AU NI MIMI TU NAKUMBUKA?

Manake hakuna kitu kilikuwa kinauma Kama Umetoka Darasani Kwako Ukaenda Darasa Lingine Kufata Umbea Afu Ghafla Unasikia [emoji35]"Haya Darasa Zima Lala Chini, Monitor Kaniletee Fimbo Kwenye Meza Yangu."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], unabeba msala usio kuhusu.
 
1.Jifunze Kukumbuka Majina Ya Watu. Sio Kila Mtu Anapendw Aitwe “Wee Kaka/Dada”, “Ankoo”, “Mzee”. Kukumbuka Majina Ya Watu Situ Itakupa Heshima, Bali Pia Utaonekana Ni Mtu Makini Na Unayejali.
Mkuu,kiongozi ,Mheshimiwa ndugu yangu ,kaka Mkubwa ,dada yangu ,at least ukitumia hayo inaswii
 
Back
Top Bottom