usijitoe jirani..Hapana mimi nimejitoa kwenye kupigiwa kura
Enzi za parabozi? That was brutal...[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana hapo labda Cole na malkia wakumbushie enzi zao[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ndio kila kitu..
Hata kwangu zimekata ghafla !!!Jf naona leo wameamua kuninyima notifications
koh koh koh, hv anaitwa nani vile
Afya na furaha!ndio kila kitu..
Nywele hizo ,zina majina mengi[emoji28][emoji28], za kichwani
Zingekuwa tofauti na za kichwani nahisi msemo ungesema, akili ni nyusi...., akili ni kope..., Akili ni sharafa....., n.k n.k.
Amun RaView attachment 740380
Mwandishi alivyoweka hiyo miaka alikuwa kwenye deep distress!
Kumbuka Ufalme wa Mbinguni uko ndani yako!
Chochote utakacho amini ndicho kitakacho kupata!