Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika ukanda wa afrika ya mashariki jamii ya siri ya Freemason ilianza kuwepo nchini Kenya mwaka 1904 ikafuatiwa na Zanzibar ambayo lodge ya kwanza ilijengwa mwaka 1906, mwaka 1922 lodge namba 3082 ikajengwa jijini dar es salaam.

[emoji17] [emoji15]

Nimeona missed call ya sir David Stewart kiongozi wa Freemason jijini dar es salaam nahisi anataka kunipa adhabu kwanini natoa siri... [emoji87] [emoji27]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…