Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Okay. Samaki wangu ikawaje?
Embu nipe uelekeo ulipo nikuletee leo!
Okay. Samaki wangu ikawaje?
Kwema kabisa sijui weweSema mkuu. Kwema?
Mkuu, wanachagua mafisadi ya wazi wazi sembuse waliotelekeza watoto?Heshima mkuu wabongo Wa napenda sana heshima
Niko hapa dukani kwa MangiEmbu nipe uelekeo ulipo nikuletee leo!
Yani sikuhizi ananyoa VPL na UCL [emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo. Tumshukuru Mungu kwa kutujalia hii siku ya leo.Kwema kabisa sijui wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] usifanye hivyo wakunyumbaNimekugaya! [emoji23][emoji23]
Hakika.Tupo. Tumshukuru Mungu kwa kutujalia hii siku ya leo.
Hatustahili lakini katuachia...
[emoji23][emoji23][emoji23] usifanye hivyo wakunyumba
Hapana mimi ni The Blues [emoji126][emoji126][emoji126]Naona na wewe ni mpenzi wa Bwawa la
Maini!
Hapana mimi ni The Blues [emoji126][emoji126][emoji126]
Kweli kabisaa
Duh!Yani sikuhizi ananyoa VPL na UCL [emoji23][emoji23][emoji23]