myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kweli...Mkuu, wanachagua mafisadi ya wazi wazi sembuse waliotelekeza watoto?
Bongo hapa we kuwa na pesa za kuhonga wapiga kura tu basi - uwe na heshima usiwe nayo hayo mengine no big deal
Kweli...Mkuu, wanachagua mafisadi ya wazi wazi sembuse waliotelekeza watoto?
Bongo hapa we kuwa na pesa za kuhonga wapiga kura tu basi - uwe na heshima usiwe nayo hayo mengine no big deal
Mkuu nini tena?Duh!
Nimestuka tu mkuuMkuu nini tena?
UmepataLikes za usiku
Nimestuka tu mkuuMkuu nini tena?
Hahaaa basi sawaNimestuka tu mkuu
Nawe pia..Umepata
Huu ndo wakati wa kutafuta kikiMwanadada anaesemekana katelekezwa na baba yake..
[emoji28] Dunia hii.View attachment 740460
DuhReport: Martial wants to leave Manchester United this summer: Martial wants to leave Manchester United this summer!
Numbisa!
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani huwa nacheka kweli na wakati mwingine huwa nafanya kusudi nione utasemaje.Halafu ushanijulia eeeeh!?
Kuna siku nitakuzungusha Koromije yoooote. Nadhani utatuheshimu zaidi. Si kwa kutuandama huku jamani kha!!!
Huu ndo wakati wa kutafuta kiki
Weka picha ya hayo makovu niamini[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Sana. Nina makovu kuprove kabisa. Nilikuwa nacheza namba tano tena ya kutegemewa kabisa....
Mh![emoji23][emoji23][emoji23]yaani huwa nacheka kweli na wakati mwingine huwa nafanya kusudi nione utasemaje.
Nasubiri kuzungushwa koromije[emoji126][emoji126][emoji126]
Acheni kuweka kila kitu kama siasa bhana,labda jamaa analengo la kutoa msaada kweliInaonekana hili zoezi kuna watu wanalengwa nasubiri list kwa hamu
Atakutishia kimdabuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani huwa nacheka kweli na wakati mwingine huwa nafanya kusudi nione utasemaje.