andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kwa mwandiko huu wa mwanamke,hata akeshe kanisani/msikitini kupata mume wa kumuoa hawezi kufanikiwa.
Inawezekana yeye ndio chanzo cha kutohudumiwa na mtoto,hiyo mitusi ataitamka hata mbele ya arasii...
Angezaa na mimi aone,siku aliyo jifungua ndo ingekuwa mwisho wake kumuona mtoto