carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali japo nadhani umelisema hili ili kunitabasamisha tu na ndani kabisa unajisemea "Koromije"
Ushindwe na ulegee !!!
Did it work??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali japo nadhani umelisema hili ili kunitabasamisha tu na ndani kabisa unajisemea "Koromije"
Ushindwe na ulegee !!!
Kimbia uvunjike mguu kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nijiwahi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
WoyooooooEndelea kutetea ukoo...
Ziwa lipo na samaki wapo(mbasa) ila hatuna ukumbi unao itwa mwenge social hall...
Linaenda up and down[emoji23][emoji23][emoji23]Kila mkubwa ana utoto ndanimwe.
USIOGOPE...
You are perfect the way you are...
Nikija tutacheza huo mchezo mpaka hizo tiles zibomoke......
Tena kama lipo basi ukiruka....
Wooooiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134]Kimbia uvunjike mguu kabisaaa [emoji23][emoji23]
Whaaaaaaiiii ya nini tena? Barafu wa moyo wake katoka huko,yeye pia kaishi huko,ni lazima atetee... Whaaaaaiiiii haina nguvu hapa,muache shemeji yangu mzuri atetee ukoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Una uhakika kuwa Unyakyusani hakuna ZIWA wala mito mikubwa? Na mito mingine ina samaki wakubwa kumshinda huyu...
Na kwa nini huwa unatetea sana Mwakaleli na kukandamiza sana Koromije? Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaiiiiiiii???
Linaenda up and down[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha kabisa
Kabebe mchanga kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23]Wooooiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sawasawa..Dom ndo ninapoishi
Dar nimetoka kwa shemeji yakoooo
Kwa sababu za kujenga viwanda inabid nirudishe milonjoo Dom.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Whaaaaaaiiii ya nini tena? Barafu wa moyo wake katoka huko,yeye pia kaishi huko,ni lazima atetee... Whaaaaaiiiii haina nguvu hapa,muache shemeji yangu mzuri atetee ukoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushapata ile namba ya uk?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wow...
Naenda mama mwenye nyumba[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kabebe mchanga kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23]