Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,974
- 24,504
Kuna mmoja hapa anakamilisha tu ratiba [emoji23][emoji23]ManC vs Liver ..
Leo ni Leo
Kuna mmoja hapa anakamilisha tu ratiba [emoji23][emoji23]ManC vs Liver ..
Leo ni Leo
Congrats jirani 200k19:34
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Congrats jirani 200k
[emoji1][emoji1][emoji1]Naenda mama mwenye nyumba[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kumbe hii ndo sababu?...Barafu wa moyo wake katoka huko,yeye pia kaishi huko,ni lazima atetee... Whaaaaaiiiii haina nguvu hapa,muache shemeji yangu mzuri atetee ukoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Congrats jirani 200k
[emoji23][emoji23][emoji23] mwanafunz kanizid ujuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rolo modo wako kakuharibu vibaya sana
Mc au??Kuna mmoja hapa anakamilisha tu ratiba [emoji23][emoji23]
Huyohuyo hachomoi hata kwa dawa [emoji23][emoji23]Mc au??
2.Unaangalia simu yako mara ghafla inaingia meseji ya kuchekesha, unacheka kwa sauti kubwa, unagundua kila mtu alikuwa kimya na sasa wote wanakuangalia wewe huku wanatikisa vichwa!
Ushapata ile namba ya uk?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Busara tupu yaani...Yaani ulikuwa zaidi ya mpole.
Ukiandika kitu mtu unakaa chini unatuliza akili na kutafakari.
Ila rolo modo alivyoanza darasa lake sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woooiiiii ukaanza kufunguka hatari.
Ila ndo raha ya kuwa huru,huwazi nani anawaza nini nikiandika hivi.
Nb;tusihukumiane kwa tuyaandikayo humu(in andjul's voice)
2.Unaangalia simu yako mara ghafla inaingia meseji ya kuchekesha, unacheka kwa sauti kubwa, unagundua kila mtu alikuwa kimya na sasa wote wanakuangalia wewe huku wanatikisa vichwa!
Utahukumiwa tu,mtoto hautulii unaongea utadhani umemeza mota!!!Yaani ulikuwa zaidi ya mpole.