Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa yaani...
Sijui hata nitamfanyeje?
Nilikuwa mpole kabisa.
Yaani nikiangalia post zangu za zamani mpaka natamani kurudiko...
Ai gesi ndo kukua kwenyewe.
Watu wanamuvu fromu ulaini wa ajabu mpaka ugumu wa ajabu and back sembuse mimi?