Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniiiii in shimbas voice
Yaani ulikuwa zaidi ya mpole.
Ukiandika kitu mtu unakaa chini unatuliza akili na kutafakari.
Ila rolo modo alivyoanza darasa lake sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woooiiiii ukaanza kufunguka hatari.
Ila ndo raha ya kuwa huru,huwazi nani anawaza nini nikiandika hivi.

Nb;tusihukumiane kwa tuyaandikayo humu(in andjul's voice)
 
3.jpg
 
Kumbe hii ndo sababu?
Haya bana....
Na huyo barafu wa moyo wake ni nani?
Mwanzoni nilifikiri ni wewe hasa pale uliposhinda ile bet na Kijana mgumu.
Sijakaa sawa tena nikaanza kusikia ushemeji.
Huu uzi yaani sometimes kufuatilia mambo na kuwa up to date ni kazi.
Ni afadhali hata wanaofanya kazi ya kufuatilia vimwondo hatari huko NASA​
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mlinichosha sana mlivyo anza kuitana "mkuu" na kitoo.
 
Halafu nimekumbuka.
Alikataa kuniita baby baada ya kuwekwa kundi la andaeitini[emoji23][emoji23]
Huu uzi unachangamoto zake kwakweli
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mlinichosha sana mlivyo anza kuitana "mkuu" na kitoo.
Mie na mweleka nilikula bila kutarajia nilipoona wamefika stage ya mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom