Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nammiss jakitoo kwakweli,sijui ban yake yaisha lini
 
Mara bro na sis?
Nakwambia uzi huu ni kazi.
Unaweza hata kuwa umelala ukajikuta unawaza mambo yanayoendelea humu.
Sasa huyo barafu wa moyo wa Carba anayetoka Mwakaleli ni nani?
Ni wewe? Yu no whati? Ai givu apu !!!
Mimi tena? Nianze kuhangaishwa na viandaeitini?!!! Nefaaaa
Mkuu wee uje tu,utakayo yakuta yatakufurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…