Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
ManCity v. Liverpool ndani ya saa moja unusu
Mpira waachie coll...Siwezi na sitaweza
Yaani nikae naangalia watu wazima wakikimbiza mpira mmoja?hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Mara bro na sis?
Nakwambia uzi huu ni kazi.
Unaweza hata kuwa umelala ukajikuta unawaza mambo yanayoendelea humu.
Sasa huyo barafu wa moyo wa Carba anayetoka Mwakaleli ni nani?
Ni wewe? Yu no whati? Ai givu apu !!!
Hata wewe shemeji kipenzi?Yaani sasa hivi tumepumzika la sivyo wangeanza
Mara dadii,mamaa,sijui babe,mara mupenzi,walikuwa wananichosha khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana,nakataa[emoji23]Hii ndio ya UK sasa! [emoji1]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], na vikaptura vyao vyepesiiiSiwezi na sitaweza
Yaani nikae naangalia watu wazima wakikimbiza mpira mmoja?hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]sina maana hiyo mimiHaya maswali tatanishi sana.
[emoji28][emoji28][emoji28], umeshikwaHaya maswali tatanishi sana.