Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Hiyo ya wapi?sijawahi iona[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio ya UK sasa! [emoji1]
Hiyo ya wapi?sijawahi iona[emoji23][emoji23][emoji23]
Na umenikumbusha[emoji23][emoji23]naitakaaaHuyo ananidai banana boat aisee, muwache kabisa! [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]walimaliza majina yoteeeMie na mweleka nilikula bila kutarajia nilipoona wamefika stage ya mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe unakubali vipi kuchomoa?[emoji125][emoji125][emoji125]
Siwezi na sitawezaNa wewe itabidi uwe tu ...
Wenyewe wanahitaji matumizi...ha ha haaa
Na mimi nilishakataa...Siwezi na sitaweza
Yaani nikae naangalia watu wazima wakikimbiza mpira mmoja?hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Komenti zako za juzi na carba sikuamini kama ni mwandiko wako,ikanibidi nirudi nyuma hadi mwezi wa juni/julai, kijana wangu mpole wa kipindi hicho,mwepesi wa kukimbia mabishano,kila mara neno la Mungu.Lipo?
You slap it and watch gravity and kinetic energy do their thang.....
Mayoooooo !!!
[emoji16][emoji16][emoji16] unapenda kuogelea jirani..ni mchezo mzuri kwa afya piaSiwezi na sitaweza
Yaani nikae naangalia watu wazima wakikimbiza mpira mmoja?hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]