Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti tuu idiotsKomenti zako za juzi na carba sikuamini kama ni mwandiko wako,ikanibidi nirudi nyuma hadi mwezi wa juni/julai, kijana wangu mpole wa kipindi hicho,mwepesi wa kukimbia mabishano,kila mara neno la Mungu.
Leo hii umekutana na hao tuu idioti(wamembadilisha hadi Yegomasika maskini kijana alikuwa mpole) sijui una waita Numbisa na carba... Umekuwa jasiri hadi nashangaa,kijana unajimwaya mwaya huku na huko kwa raha zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sipendi hata hiyo jirani[emoji16][emoji16][emoji16] unapenda kuogelea jirani..ni mchezo mzuri kwa afya pia
Yaaani majina yenu yalikuwa yanastaajabisha kwakweli,kila mkiamka mnakuja na majina mapya[emoji23][emoji23][emoji23]Hata wewe shemeji kipenzi?
Jamaniiiii....
Yaaani unaona kengele zinagongana aaaggrrr[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], na vikaptura vyao vyepesiii
Nanyie je?WANAUM mlipewa LAANA moja tu ya kua MTAKULA KWA JASHO
Hii LAANA nyingine ya KUKULA KWA MACHO Dem anapopita mmejiongezea wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniiiiiMie na mweleka nilikula bila kutarajia nilipoona wamefika stage ya mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23]