myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes za usiku zinaendelea
Duh aiseeeMshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 20, amekatishwa tamaa na kukosa muda wa kucheza katika Old Trafford na mchezaji huyo wa kimataifa wa England anaweza kuihama klabu hiyo msimu ujao. (Mirror)