Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Katika pambano la leo, kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp anatazamia kumrudisha kikosini staa wake wa msimu huu, Mo Salah ambaye hakucheza katika pambano la watani wa jadi Everton Jumamosi baada ya kushindwa kumaliza katika pambano la raundi ya kwanza dhidi ya City ambapo alifunga bao la kuongoza.