Mabadiliko yako pamoja na mitazamo yako unapokuwa umefanya kitu cha zaidi kuliko,Kila mtu anajitahidi kufanya kila awezalo kusudi apate furaha , kujiuliza mimi ni nani , kwa nini mimi, hilo ni swali la kila mtu kutaka kujitambua.
Watu wengi hujiona wenyewe kupitia lens zao , na kujiuliza swali, kama, hivi nina tatizo gani mimi? Kujihisi kuvunjika moyo na kutokuwa na uhakika ya kuwa yeye ni wa thamani kubwa ulimwenguni.
Lakini naamini kuwa kila mtu ana wajibika na kukabiliana kwa kadri ya uwezo wake ili kushawishi ulimwengu unaotuzunguka, na ulimwengu wetu na hio ndio kujitambua kuwa ni nani.
Mbili kati ya hizi ziko ndani ya miili yetu, uwanja wa kibaiolojia wa ubongo wetu na mwili, na uwanja mwingine tunaoita jinsi mimi ninavyoona mwenyewe. Uwanja wa nadharia ya akili.
Viwanja vilivyo nje ya mwili ni kama Nyumbani na kijamii
Viwanja vyote hivi vinaingiliana na kuleta matokeo ya mimi au wewe ni nani sasa, Nguvu yetu na upeo uliopo, kufanya kadri tuwezavyo kwa muda na wakati kwa kila wakati ni kutaka kujifahamu ; Hii ndio mimi ni nani.
Msingi huu ni mkubwa na unakujenga kisaikolojia na kijamii na hata kuweza kujitambua . Tunakuwa na muda mwingi wa kutaka kufahamu ni kitu gani watu wanasema kwa ajili yetu, ni kipi wanachofikiria kwa ajili yetu, ni kipi wanahisi kuhusu sisi;
Tunaita hii ni Uelewa. Lakini pia tuna nia ya kujua ni kitu gani watu wanafikiria na kuhisi kuhusu mimi. Mamia ya miaka iliopita ilikuwa ni muhimu kujua kama mtu anakutazama jinsi gani unavyopata chakula kuliko jinsi gani unavyoshinda njaa. Umimi ulitawala kupita kiasi.
Shukrani haiwezi kuja kwa urahisi kwetu wanawake kwa wanaume. Na ni kitu chenye fadhila ya kudumu. Kwenye jamii yetu tunangalia zaidi kwenye bahati gani tulionayo, na kitu gani watu walichonacho ambacho sisi hatuna.
Wakati shukrani inahitaji kukubali kile ulichonacho tayari. Zaidi kile na kile, shukrani inatambua kile kilicho kizuri kwenye maisha yetu kinachokuja kutoka nje yetu na nje ya uwezo wetu , hakina maana kwetu.
Kwa kubadilisha hicho, shukrani inageuza malengo yetu kutoka kwenye kile tulichobahatika au kupata kwa kile ambacho tayari tunacho. Kufungua macho yetu na kuona kuwa haya ni maisha, kitu ambacho ni kizuri, cha kusherehekea, bila ya kusahau, kupuuza, au kuchukulia kawaida kuwa kipo kwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.