Shukrani ya kweli , ni tofauti, ni wema wa nadra , Mfano mdogo, ni pale mtumwa alipotupwa ndani ya shimo la Simba wenye njaa, baadae mtumwa na simba wakashikana , Simba mwenye njaa aliunguruma mbele ya mtumwa huyo. Lakini baada ya wale waliomtupia kutambua hilo kuwa mtumwa hajaliwa na simba , walipeleka mikono yao mbele ya simba kutaka kujaribu , waliliwa wote kama mbwa mdogo.

[emoji28][emoji28][emoji28], vitumbua vya mayai, sio?Siku nikija Koromije we niandalie hizo tu au vitumbua, utakuwa umemaliza mchezo! [emoji1][emoji1]