mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good morning wadau wa likes
Acha utani mkuuHuko Dunian nasikia Liverpool anapumulia mashine
Mechi ngumu sana kwa Liverpool first halfManC 1 Liver 0
Napenda semi final tukichape na MadridRoma 1 Bar 0
Makame Rashidi VuaiMshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 20, amekatishwa tamaa na kukosa muda wa kucheza katika Old Trafford na mchezaji huyo wa kimataifa wa England anaweza kuihama klabu hiyo msimu ujao. (Mirror)