myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
07:46
HahahahahaMzee wa liver ni shabiki wa maini siyo mpira. [emoji1] [emoji23]
Naona kombe letu this timeBarcelona Out....
Ndio mpira una matokeo ya kikatili sanaOOHH JAHAZI LIMEZAMA
BARCELONA & Manchester city Out
Hello from kolomijeNamshukuru aliye juu.Nimeiona siku mpya.
Barcelona wamechana mikeka mingiWe ongea hovyo utapigwa wakikusikia wenye watu wamebeti wameipa Barcelona [emoji23] [emoji1]
Acha kuota basi asubuh ishafikaNapenda semi final tukichape na Madrid
Muulize Fergerson anasema katika viwanja vyote duniani kiwanja ambacho alikuwa anakiogopa ni AnfieldNa wewe kumbe mkereketwa wa Anfield! [emoji1]
Uefa champ leage this season ndoo yetuAtakuwa kahehuka saa hizi maana hakuna aliyedhani kwamba wanaweza kufanya walichokifanya. Naona kuelekea ukingoni kwa msimu MANC wamekuwa mdebwedo.
Aibu sanaKheeeee kheeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
![]()
Dejection for Messi. Photograph: Andreas
Firmino ,![]()
Liverpool’s Roberto Firmino celebrates scoring the second
No doubt jamaa hatari sana huyu![]()
The Liverpool players celebrate Salah’s goal.
Hahahahaha
Walete Madrid nowThat 5-1 scoreline would be the final margin of victory for Liverpool, who easily advanced to the semi-finals past the Premier League champions-elect.
Klopp's men will have at least two more chances to add to their record, and potentially a third should they advance to the final on May 26 in Kiev, Ukraine.
Njema kabisa tukiwa Na Furaha na ushindi wa liver with absence of barca semifinal naona ndoo yetuAlfajiri ingine