Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila wanaume wahenga, wa enzi hizo walikuwa majasiri..
Mtu anajimegea chenza huku matokeo yakisubiriwa kwa hamu huko nje.....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
Yaani kama Liver na Man City.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na shuka jeupe limetandikwa kupima uzito wa mechi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na shuka jeupe limetandikwa kupima uzito wa mechi
[emoji28][emoji28][emoji28], yaani hatari kabisa...Hapo wanaogopana hata hawajui waanze vipi maskini...
Wanakuwa wanategeana kama kale ka mchezo "Kula mbakishie baba"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…