Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Ila wanaume wahenga, wa enzi hizo walikuwa majasiri..
Mtu anajimegea chenza huku matokeo yakisubiriwa kwa hamu huko nje.....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
Yaani kama Liver na Man City.
Fafanua tafadhali! [emoji1]