Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna ubishi kwamba hali ya hewa, wingi wa mashabiki na jinsi walivyofanya usiku ule vilichangia sana ushindi wa Liverpool wanaofundishwa na Jurgen Klopp na ukweli ni kwamba kwa misimu miwili sasa viingilio vimepunguzwa Anfield, na kuwafanya Liverpool walio moto sana sasa kuwa na uungwaji mkono mkubwa.
 
Wamiliki Wamarekani, Fenway Sports Group wanajijengea mtaji mzuri wa mashabiki na wanajua faida yake, kwa sababu 2016 washabiki walilalamikia kupandishwa kwa bei ya kiingilio. Bodi ya klabu inawasikiliza washabiki na imechukua hatua kwenye mwelekeo sahihi na sasa wanavuna matunda. Hata wasipotwaa kombe lolote msimu huu, kuna kila dalili kwamba hawapo mbali na kuanza kujitwalia tuzo walau msimu ujao.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom