myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
12:26
Huyu nimekosa wa kumfananisha nayeMohamed Salah alifunga bao lake la 39, msimu huu akiwa na jezi ya Liverpool, pia Misri huyo alitegeneza bao la pili lililofungwa na Roberto Firmino na kukujihakikishia ushindi mnono wa mabao 2-1 ugenini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28], yaani hatari kabisa...Hapo wanaogopana hata hawajui waanze vipi maskini...
Wanakuwa wanategeana kama kale ka mchezo "Kula mbakishie baba"
Watu maneno eti ukitaka Rozali original unamwagiza Messi tu Leo wanarudi kutoka Roma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]10:58
KabisaKocha huyo Mjerumani alisema dunia imetulia baada ya ushindi wa Liverpool.
Mkuu nabeti hapa weka mzigo uefa champion leage this season bingwa ni Liverpool nuksi couthino tuliwapa barcaanajisifu nae..ngoja wakose vikombe atakosa cha kusema
Mkuu niaje umepotea sana nimekaa Handeni mpka naondoka kimya kabisa narudi next weekHahaa. Ngoja nipitie txt za nyuma
Pamoja sanaHabari za hapa Familia pendwa ya Uniq na mkewe mpendwa Babe S. Hope mpo poa sana
Mkuu Kazi imekwisha nasubiri ijumaa draw nitapangwa na kibonde gani maana waliobaki wote vibonde tuManchester City vs Liverpool
Come back ya hatariAS Roma vs Barcelona
Man u nayo timu walibebwa Siku hile [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu shida yenu kupaki basi lakini wachovu tu nyieHivi juzo juzi hapa man u si alimtwanga liver,liver anafungika vizuri tu
Ubigwa umeisha man city bingwa hakuna ubishiMBIO za ubingwa wa Ligi Kuu England zimekuwa ngumu baada ya Manchester United kuichapa Manchester City 3-2 Etihad Jumamosi iliyopita na kufanya mchakamchaka wa kusaka taji hilo kuendelea kwa wiki kadhaa zijazo.
Firmino ,
Wabrazil kama wabongo tu media za kwao wanampa kiki sana jesus ,kuliko huyu jamaa ,Firmino ni Staa Mkubwa sana kwa sasa Brazil apewi heshima inayostahili hata national team
Aibu sana