Olympic stadium [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu Roma Mkatoliki alionekana akielekea Zimbabwe sijui alikuwa anatumia usafiri upi.
Morning wananchiGood morning Tanzania
Pamoja safi sana mkuuJumatano ya Liverpool, habari yako mkuu
Hapo ndipo pabaya salah amekuwa nguzo muhimu sana kwa Liverpool msimu huu ,klop mjanja sana aliwasumbua kumwachia couthino mwisho akawapiga bei kubwa kwa huyu sijui
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mechi ngumu sana kwa Liverpool first half
Madrid watakaliaNapenda semi final tukichape na Madrid
Madrid watakalia
Napenda semi final tukichape na Madrid
Asanteni sana Chama la wana
Cc NumbisaMadrid watakalia
BAK Madrid mdebwedo tu kwa liverHii mechi itakuwa ya kukata na shoka advantage Madrid
Kipindi cha kwanza mechi ilikuwa ngumu nilitamani kuzima hata TV acha kabisaLeo naona unakenua gego mpaka gego Mkuu kwa ushindi mnono wa jana.
BAK Madrid mdebwedo tu kwa liver
Kipindi cha kwanza mechi ilikuwa ngumu nilitamani kuzima hata TV acha kabisa
Mogadishu...Somaliland....Wapi Bob12
Sasa watakuja machinjioni pale anfield Kazi kwisha ndio maana nataka semifinal nao hili final iwe nyepesi kwetuNgoja tusubiri maana Cr7 ameuona upenyo wa kuchukua tena UEFA kwa mwaka wa tatu mfululizo baada ya BARCA kukalishwa chini, hivyo hawa jamaa watajituma sana nadhani kuliko kipindi chochote kile msimu huu ili wafanye kitu ambacho sidhani kama kimeshawahi kufanywa na timu yoyote kwenye UEFA.