mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hata Fergie anajua huu uwanja hatari sana jehanamu ya timu pinzani yaani nawatamani Madrid Waje hapa tuwape kichapo cha mbwa kokoSioni uwanja wowote wa London kuja kuwa na hali ile ya hewa na homa kubwa kama Anfield. Si uwanja mpya wa Tottenham unaojengwa wala ule wa Chelsea utakapokarabatiwa na kupanuliwa. Anfield palikuwa pa aina yake.