Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara tu baada ya kula pilipili katika shindano hilo , mtu huyo alianza kuhisi kutapika. Alianza kuhisi maumivu makali katika shingo yake katika kipindi cha siku chache pamoja na kuumwa na kichwa, yakifanyika kila baada ya sekunde chache
 
Kisa hicho ni cha kwanza kuhusishwa na ulaji wa pilipili. Awali ulaji wa pilipili aina ya Cayene ulihusishwa na kujipinda kwa mishipa ya moyo na kusababisha mshtuko wa moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…