Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuongezeka kwa mauzo ya mahindi nchini Kenya kufuatia kiwango kikubwa cha bidhaa hiyo kuagizwa kutoka mataifa jirani ya Uganda na Tanzania .
Kenya ilisaini mkataba na seikali ya Uganda kununua magunia milioni 6.6 ya mahindi kwa gharama ya Sh2,050 kila mfuko ili kuziba pengo la uhaba wa magunia milioni tano uliosababishwa na hali mbaya ya hewa na kukabiliana na kupanda kwabei ya unga.
Unga wa Mahindi nchini Kenya hutumika kutengeneza Ugali ambao ni chakula kikuu kwa jamii nyingi nchini humo.
 
Kupanda kwa bei ya ''unga'' kumekuwa kukisababisha mara kwa mara maandamano makubwa ya wananchi nchini Kenya wakilalamikia kuwa uhaba wake unasababisha maisha kuwa magumu majumbani mwao
Maandamano dhidi ya serikali yamekuwa yakishuhudiwa katika miaka iliyopita wananchi wakiilalamikia kwa kutochukua hatua za kudhibiti mapema mfumuko wa bei ya chakula hicho kinachopendwa sana nchini Kenya na mataifa mengine ya Afrika
 
Back
Top Bottom