Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Watu wakilia kupigwa na yule dogo janja? Niliuona. Mi nasomaga tu haya mambo kwa faida yangu...Uliona ule uzi wa forex wa juzi juzi hapa?
Watu wakilia kupigwa na yule dogo janja? Niliuona. Mi nasomaga tu haya mambo kwa faida yangu...Uliona ule uzi wa forex wa juzi juzi hapa?
[emoji23][emoji23]unanifurahishaga.Si nimejua kutumia emoj nzuri
watakimbia kabla ya kuliwa!! inakua kufukuzana..Sasa kwanini usiwe mbwa tu kondoo wajue wewe ni mbwa na utawala tu?
Kuupata uelekeo wa Numbisa ni kazi ngumu sana.Kama kakaake tu....Yaani siku hizi anacheka pekeyake[emoji23][emoji23]sijui ananini
Sikujua ni nini ndo mana nikaulizaNi utumbo umeshindiliwa nyama zilizosagwa. Sausages...Wewe ulifikiri ni nini?
Kama kawaidasafii
naona uko na shemejio mnapiga 'soga
Wakati unakuja upitie hizo chapati na vitumbua sawa eeh[emoji23][emoji23][emoji23]Nakuja, tayarisha na vitumbua kabisa! Kama kuna chapati nazo poa! [emoji1550][emoji1550]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niaje ndugu[emoji137] [emoji137] huku tupo vizuri kabisaHahaa, ngoja na sisi tukajifiche kwenye magari mabovu! Tutakua tunaimbiana, anameremeta! [emoji23][emoji23][emoji23]... Chezea watoto wa Generation Y wewe!
Halafu wapoleee. Akikuinamia anakuwekea sijui mawaya kifua chake kinakugusa gusa. Hapo sasa inabidi ufokasi kwenye ugumu...Duh!!
Waweza endelea kuumwa eti.
Nimeelewa sana,shukranwatakimbia kabla ya kuliwa!! inakua kufukuzana..
Kakaake yupi?Kuupata uelekeo wa Numbisa ni kazi ngumu sana.Kama kakaake tu....
Bado. We mtu amevunja ndoa kisa mume kupenda ipielo!!!Andaeitini hajayaona maisha bado ama?
Wakati unakuja upitie hizo chapati na vitumbua sawa eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
sawa jirani..Nimeelewa sana,shukran
Haya yote yalikuwa juzi??[emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Halafu wapoleee. Akikuinamia anakuwekea sijui mawaya kifua chake kinakigusa gusa. Hapo sasa inabidi ufokasi kwenye ugumu...
Wewe kwani hujui[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kakaake yupi?
Umeanza !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niaje ndugu[emoji137] [emoji137] huku tupo vizuri kabisa
Hahahaha Wala huwa naweka hivyo hivyo[emoji23][emoji23]unanifurahishaga.
Kunakipindi nahisi kama quote zinakataa ndo mana zinakuja hivyo
Viandaeitini hivi havieleweki. Kitakuja hapo na skinny jeans imepasuka magotini hakana kitu mkononi na bado kanataka "kitumbua". Katasingizia miscommunication. Jiandae !!!Wakati unakuja upitie hizo chapati na vitumbua sawa eeh[emoji23][emoji23][emoji23]