andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Vizuri kabisa mtoto mzuri.Huyu Yego hata chai ya asubuhi hajanywa. Ngoja basi apate kifungua kinywa, akishamaliza ataenda nje kucheza mchezo wa kujificha na watoto wenzake! [emoji1]
Baba na mama wanapanga bajeti wanataka wakakununulie mdogo wako sokooonii...sawa baba eeeh?!!