Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jaribu. Samaraizi....Yasni sijui nielezee vipi uelewe
Jaribu. Samaraizi....Yasni sijui nielezee vipi uelewe
Nikakumbuka ile comment ya ku slap and watch it..tena kwa mashoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23]mashoto
Utakuja mkumbuka huyo...Jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sasa ningevumilia??
Yaani aniache ndani akatazame ipielo??
UmeanzaHata mimi niliuhisi mtego huo katika swali lake ndo maana nikajibaraguza kivingine tu. Ina maana saksafoni lako kubwa reefu nene zito unalojivuniaga mara kwa mara analijua? Au unaongelea nini hapa? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Tena kime resti ini pisi siku nyingi sana
Numby kasema hana na mimi sina,sijui tunaipataje sasaMi sikuiona. Iwekeni upya...
Tena kime resti ini pisi siku nyingi sana
ikipata muda nitaisaka tuNumby kasema hana na mimi sina,sijui tunaipataje sasa
Pole yao walikua wanajitapa wagumu wagumu hahaha
Mimi? Akha!!! Mimi nilishikiria mkataba wa picha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tena ipielo anaangalizia nyumbani wala siyo huko kwenye mabaa....
Wewe hukuhusika kuvunja ndoa hiyo?
Wagumu tupo sema tu sometimes majaribu yanazidi. Hatuna mawe mioyoni ohooo...!!!Pole yao walikua wanajitapa wagumu wagumu hahaha
Hakuna chama hapa bhana,msituumize vichwa sisiChama bado ni imara kabisa! Sijui ni nini kinawachanganya mpaka muanze kukibeza!
Nakuaminiaikipata muda nitaisaka tu
Unitagi ukiipata...ikipata muda nitaisaka tu
Mgumu chapati na vitumbua kwisa habari ako weweUsidanganyike weye! [emoji112][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Yani hapo kwenye"kula" ndo ugumu unakosa maanaWagumu tupo sema tu sometimes majaribu yanazidi. Hatuna mawe mioyoni ohooo...!!!
Ndiyo maana Yego kasema hata wagumu tunakula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]