Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aaah wewe ni aina ya wagumu wanaokulaga kila kitu kisha unadanganya wenzio ni mgumu asilia eti jiwe haudanganyiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wagumu tupo sema tu sometimes majaribu yanazidi. Hatuna mawe mioyoni ohooo...!!!
Ndiyo maana Yego kasema hata wagumu tunakula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]