Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
images%20(23).jpeg
 
Kocha huyo akionyesha kuchanganyikiwa alimvaa mwamuzi huyo na maofisa wengine kabla ya kuchukuliwa hatua.

Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa), linaweza kumchukulia hatua baada ya kufanya uchunguzi kutokana na ripoti ya mwamuzi.
 
Hata hivyo, mwamuzi huyo raia wa Hispania kama Guardiola alidai Sane alikuwa ameotea kabla ya kufunga.

“Nimeshangaa kwanini alinitoa kwenye benchi kwasababu sikutoa kauli yoyote mbaya. Kila mmoja ameona, namfahamu vizuri huyu mwamuzi,”aling’aka Guardiola.
 
Back
Top Bottom