Hakika tujiandae na kesho uku tunaomba uzimaSiku inayeya Mkuu 18:06
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu yani acha tu sijui ata ni nini yani sielewi elewiOya bosi mbona huendi eneo la tukio
Fanya basi ukatoe neno tunakusubiri[emoji1]
Ndio nimerudi hivyoMbona umetukimbia huku kwa likes
Hakika tujiandae na kesho uku tunaomba uzima
Njooo kaka[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu yani acha tu sijui ata ni nini yani sielewi elewi
Upo vizuri unajitahidi sana [emoji1]
Hata hiyo avi nzuri tuu.Hahaa
Natafuta lipstick mpya sijapata bado[emoji4][emoji4]
Nikweli maana baraka zake ndio zimetufikisha hapa leo wala sio ujanja wetuKumshukuru Mwenyezi Mungu kila siku ni muhimu sana Mkuu.
Daah!! Acha nijaribu kufanya hivyo ila sio poa mwananguNjooo kaka
Na wewe katoe maneno mazuri, you can do that yaan watu wana kutafutaa ile mbaya.
Usimuache sista ka hanga tuu pale
HahahaDaah!! Acha nijaribu kufanya hivyo ila sio poa mwanangu