Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Wewe ndio unajifanya hunielewi mimi[emoji23][emoji23][emoji23]unajifanya huelewi somo eeeh??
Subiri uibiwe uanze kulialia ka kipindi kile,hatu solve kesi tena
Hata wewe??[emoji23][emoji23][emoji23]Na ndo utakuwa mwisho wa kuchungulia humu.Mwaka 2014 nilijiondoa facebook kwa kunitag kwenye mambo ya kijinga jinga.
Mkuu habari za siku10 minutes to big UCL games
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndio unajifanya hunielewi mimi
[emoji1]
Utanielewa tuu
Safi mzima dadakeKakake salam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nishakwambia,hatuta solve kesi sisi
Wala hatuta mtetea mtu tena
Alhamdulillah kakake,sijui hukoSafi mzima dadake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We naweee!
I miss youYou gotta some to write