Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hope yuko safeTulimshauri sana asiende Somalia lakini hakutusikiliza....Sad !!!
You gotta some to write.... ..... ...... ..... .......
Usjali ntakuanzishia [emoji23]Mamvo mazuri hayo,make it official basi na wewe
Teh teh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Man u nayo timu walibebwa Siku hile [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu shida yenu kupaki basi lakini wachovu tu nyie
[emoji23][emoji23][emoji23]unajifanya huelewi somo eeeh??Usjali ntakuanzishia [emoji23]
Thired nzuriii takuwekea hapo
Kakake salam[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wagumu wote wametoka, tumebaki wagumu liver na vibonde watupu UEFA CHAMPION [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watupe kibonde mwingine tuvune magoli H & A kwenye semi fainalMkuu Kazi imekwisha nasubiri ijumaa draw nitapangwa na kibonde gani maana waliobaki wote vibonde tu
Na ndo utakuwa mwisho wa kuchungulia humu.Mwaka 2014 nilijiondoa facebook kwa kunitag kwenye mambo ya kijinga jinga.Atakayenifanyia hivyo nitalog out JF na kwingineko na hatanisikia tena milele. Baba D mwenyewe naona kachanganyikiwa naona kashtukizwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu katesti zali kwa kumwanzishia uzi Mwakaleli tuone response itakuwaje [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️