moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Asilimia kubwa ya wale wanaodai wanawake hapa jf ni vidumeVitu vingine ni vya kushangaza,kwani ni lazma upate mwanamke jf? Hawa hawa wanawake wa jf ndo walewale tunaowaletea uso wa mbuzi mtaani, kwenye vyombo vya usafiri