Asilimia kubwa ya wale wanaodai wanawake hapa jf ni vidumeVitu vingine ni vya kushangaza,kwani ni lazma upate mwanamke jf? Hawa hawa wanawake wa jf ndo walewale tunaowaletea uso wa mbuzi mtaani, kwenye vyombo vya usafiri
SawasawaUkiona mtu kakomenti chochote we weka like
Nimependa rangi zake
BeautifulNimependa rangi zake