hahahaaa duh!!Hee leo umekunywa nini mwenzetu sio kwa kuita huko. Nipooo nakula selfie na shostView attachment 714191
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si mmenipa kazi ya kuitafuta picha ya surual ya kitambaa
Ulifanikiwa?
Mshindwe na mlegee.Naiombea kwa majina yote haitaonekana.Hapana nilikua busy sikusaka sana. Ntajaribu tena weekend