Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180413-WA0028.jpg
 
Mwili wa Mtanzania, anayedaiwa kuuawa na mume wake, Uingereza Leyla Mtumwa, bado haujafika nchini kutokana na uchunguzi kutokamilika.

Leyla, 36 anadaiwa kuchomwa visu shingoni na kifuani hadi kufa na mume wake, Salum Kasambula (38) usiku wa kuamkia Ijumaa Kuu, mwezi huu. Mauaji hayo yalifanyika nyumbani kwa wanandoa hao, Kirkstall Avenue, Haringey, Uingereza
 
MCL Digital imezunguma na mama wa marehemu Hidaya Mtumwa ambaye amesema: “Mwili bado haujaletwa kwa kuwa uchunguzi haujakamilika mpaka sasa,” amesema mama yake Leyla, Hidaya Mtumwa.

Hidaya pia amesema suala la fedha za kuuleta mwili nchini limekamilika lakini kinachosubiriwa ni uchunguzi tu.
 
Hidaya ni yule mwanamke aliyewahi kutungiwa wimbo na mwanamuziki wa DR Congo, Pepe Kalle, miaka ya 90.

Juzi, Kasambula alipandishwa mahakamani, lakini hakuweza kupata wakili kutokana na wanasheria nchini humo kuwa katika mgomo. Alirudishwa rumande.
 
Ndani nako walikuwepo wanawake wengine wengi, wakiwa tayari kwa kuhudumiwa.

Tofauti na ilivyokuwa jana leo pia kuna idadi kubwa ya wanaume ambao wameitikia wito.

Hata hivyo katika hali isiyo ya kawaida mwanaume mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, alisikika akilalama kwanini ameitwa hapo.
 
Ilikuwaje?

Aprili 5 majira ya saa 3 usiku, mume wa Mariam, Isaya Petro (35) usiku alifika kwake akiwa amejawa na hasira na kufoka,” nilishakwambia utoke hapa niuze hii nyumba hunielewi, pamoja na maamuzi yote ya Mahakama na Ustawi wa Jamii kuwa siruhusiwi kuuza nasema utake usitake nitauza,” anasema Mariam akisimulia mkasa ulivyokuwa.
 
Majibu hayo yalimfanya akasirike na kutoka huku akiniapia kuwa ni bora tukose wote, akatoka na kwenda kwake anakoishi na mke mdogo, baada ya muda akarejea akiwa na panga na kuanza kubomoa mlango, nikapiga kelele kuomba msaada akanifuata anikate watoto wakanisaidia nikakimbia,” anabainisha.
 
Back
Top Bottom