Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
ASANTE. Ai emu hambodi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hapana
Nilikuwa nasoma busara zako tu huko,kamoyo kakafarijika.
Kweli tumetoka mbali sana
Nyanya ledada na nyanya kitoo[emoji38][emoji38]Bee nyanya au nyanya kitoo
Asee basi ndio maana ulikuwa una upendaHuhuhu
Ndioo
Safi...Kunywa kwa mpangilio
Siyo unakunywa soda sita, maji mbili mazoezi sifuri.
Hapo lazma upate shda.
Soda mbili, maji sita+ mazoezi
Hakuna shda hapo
Nipe location nije chaaapHaya njoo tule sasa upooze machunguView attachment 743531
HahahaNdio Bro,,, Houston Rocket nawakubali
Mwambie ajeee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sijui eti ngoja nimuulize
Kumbe wewe na yeye mnajua ukweli eeh?[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Wewe hapo unajua twambie
Say tHakuna swali[emoji1][emoji1]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] nyanya kitoo yupo gerezaniNyanya ledada na nyanya kitoo[emoji38][emoji38]
HahahHahaha
Umejitahidi sjawahi wapenda kwakuwa wana niangushaga kwa playoffs
Kuna msosi kweli hapo? Mbona mi sijaona? Hivyo vitafunwa ndo msosi?Nipe location nije chaaap
Sirembi kwenye msosi aiseeh
Teh
Bia mojaSafi...
Bia moja nayo inapaswa iende na maji mangapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniASANTE. Ai emu hambodi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kabla hamjaniharibu nilikuwa na busara balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
GSWView attachment 26019263_2096980270530021_6363703070815158272_n.mp4Hahaha
Umejitahidi sjawahi wapenda kwakuwa wana niangushaga kwa playoffs
HahahahaNipe location nije chaaap
Sirembi kwenye msosi aiseeh
Teh
HuhuhuAsee basi ndio maana ulikuwa una upenda
Najua huu wimbo ulikuwa kama meli ilo kuvusha baharini vile.
Nasubiri ushuhuda wako,na wewe ulikuwa uki sleep na broken heart?Asee basi ndio maana ulikuwa una upenda
Najua huu wimbo ulikuwa kama meli ilo kuvusha baharini vile.