Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
ASANTE mkuu...Bia moja
Maji 13+ mazoezi ya nguvuuu[emoji1]
Wayne glas moja ndio nzuri kwa afya
ASANTE mkuu...Bia moja
Maji 13+ mazoezi ya nguvuuu[emoji1]
Wayne glas moja ndio nzuri kwa afya
YeahHahah
Sema sometime wanakuaga vzr sana tatzo sio wa kuwaamini sana
Sia bhana ningekwisha sema.Say t
Kuna jambo ulitaka usema
Usiwe kama bill nas alisema hana jambo kumbe lipo, likavuja[emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna msosi kweli hapo? Mbona mi sijaona? Hivyo vitafunwa ndo msosi?
Au kuna kreti la Pepsi pembeni halionekani kwenye picha?
Exactly mzee,, huu mwaka wetu sema bado kuna vikwazo vya GSW, Cleverland, BostonYeah
Mkishindwa kuchukua this yr
Mtasubiri mpaka mchoke.
Huu ndio mwaka wenu
Wanaume wa dar hawa utawaweza[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna msosi kweli hapo? Mbona mi sijaona? Hivyo vitafunwa ndo msosi?
Au kuna kreti la Pepsi pembeni halionekani kwenye picha?
Nakuona gwiji[emoji125] [emoji125] [emoji125]Bia moja
Maji 13+ mazoezi ya nguvuuu[emoji1]
Wayne glas moja ndio nzuri kwa afya
Kwa sisi wanaume wa mikoani huku hivyo ni vitafunwa braza. Nimetoka kupalilia nyanya au kuchunga ng'ombe siku nzima ndo nikute hivi vitafunwa mbona hatutaelewana? Ila kwa Dar, huu msosi hevi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Braza ni vitafunwa hivo unavo viona hapo?
Ni full dinner hiyo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huhuhu
Yani nilikuwa nausikiliza wenyewe tu
Mambo haya buana
Mpaka sasa [emoji1]Nasubiri ushuhuda wako,na wewe ulikuwa uki sleep na broken heart?
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kwa sisi wanaume wa mikoani huku hivyo ni vitafunwa braza. Nimetoka kupalilia nyanya au kuchunga siku nzima ndo nikute hivi vitafunwa mbona hatutaelewana? Ila kwa Dar, huu msosi hevi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sawa. Halafu wanalalamika eti yale mabango yamezidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa dar hawa utawaweza[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiko ndo chakula wanakula na kwenda kulala
Sirembi nimekwambia[emoji38][emoji38]Hahahaha
Yaan kwenye msosi hata kukaribishwa kwa utani huwa kula
nyanya mimi najua ila sisemi[emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji445]Kumbe wewe na yeye mnajua ukweli eeh?
Mnanichosha akili tu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Akuje na fekero au?Mwambie ajeee
Dinner ya wanaume wa dar[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Braza ni vitafunwa hivo unavo viona hapo?
Ni full dinner hiyo
Mkorofi wewe[emoji23][emoji23]Kwa sisi wanaume wa mikoani huku hivyo ni vitafunwa braza. Nimetoka kupalilia nyanya au kuchunga ng'ombe siku nzima ndo nikute hivi vitafunwa mbona hatutaelewana? Ila kwa Dar, huu msosi hevi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona hapo D Wade kipindi ako Cavs [emoji1]
HahhahahaSia bhana ningekwisha sema.
Lile jambo la billnas hapana lile ni gujambo maana ni kubwa mnoo[emoji23]
Wachaaa!!Mpaka sasa [emoji1]
Huo wimbo kwangu ni endelevu