Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20180413_193004_721.jpg
 
Kwa sisi wanaume wa mikoani huku hivyo ni vitafunwa braza. Nimetoka kupalilia nyanya au kuchunga ng'ombe siku nzima ndo nikute hivi vitafunwa mbona hatutaelewana? Ila kwa Dar, huu msosi hevi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi mwenyewe wa mkoani

Ila inategemeana kwa mfano kama umetoka kwenye shughuli nzito utakula sana. Na hata ukila sana kama huna shughuki nzito inatakiwa utafute hata shughuli ili u burn calories la si hivo utafumukaa
 
Back
Top Bottom