Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mfyuuuu zake[emoji19][emoji57][emoji57]
Kuna nchi zimepunguza na hata kufuta kabisa mitihani na homework; na viwango vyao vya elimu vimepanda. Wanafunzi wanasisitizwa sana kuoanisha wanachojifunza na hali halisi katika maisha yao na wanakazaniwa kuanza kuendeleza passion zao tangu wakiwa wadogo. Wengi wao badala ya kwenda vyuo vikuu wanakwenda moja kwa moja kujifunza vitu wanavyopenda wakimaliza high school (umekanika, ufundi umeme, electronics...). Ni wale tu wanaohitaji taaluma zinazohitaji nadharia zaidi (mf. MDs, Uhandisi...) ndiyo wanaendelea na vyuo vikuu...
 
IMG-20180413-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom