myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Upendo na umoja
[emoji23][emoji23]ukoo utakaa kikao cha kukujadiliHaki ya nani ukila vitafunwa hivi halafu ubebeshwe haya mamiguu, heshima ya ukoo siku hiyo kwishnei. Aibu sana !!!
View attachment 743558
Nasikia mwezi mzima. Mara miezi sita. Kuna watu wana access naye ndo wanasema sema mkuu...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Jakitoo ban yake ya muda gani
SawasawaSisomi unachoandika, kazi yangu ni kutoa like
Mambo myMy..
Upi tena huoMchezo mtamu hakuna uchoyo huku mkuje tu.
Nani huyo myAna bahati hayupo ninge deal nae pesonali
Mchina niaje wapi kkUko sahihi
Kweli kabisaHahahaa
Ila nahisi miziki iliishia maiak hiyo bhana
Sku hizi watu wna imba utumbo utumbo
.tumebakiza wachache sana wazuri
Hivi kapotelea wapi huyu mzee?
Huyo aliye leta homework my wanguNani huyo my
Dini nini mwenye kujua anijuze
MmmmmhhhJazwa ujazweeeee
Utabadilika rangi na pepsi..penda fantaSanaaaaaa
Mombasa tenahuku kumegeuka mombasa...ukigeuka like...ukilala like...ukisimama like