Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Braza ni vitafunwa hivo unavo viona hapo?

Ni full dinner hiyo
Kwa sisi wanaume wa mikoani huku hivyo ni vitafunwa braza. Nimetoka kupalilia nyanya au kuchunga ng'ombe siku nzima ndo nikute hivi vitafunwa mbona hatutaelewana? Ila kwa Dar, huu msosi hevi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…