mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Poa kabisa karibu sanaKwa takribani masaa 24 nilikuwa mbali na uzi huu, vipi mko poa hapa
Poa kabisa karibu sanaKwa takribani masaa 24 nilikuwa mbali na uzi huu, vipi mko poa hapa
Big match weekend hiiKaribuni tuifurahie weekend
Kweli..Big match weekend hii
Spurs vs City
Hakuna kukwama ndoo yetu hii mkuuMzee wa liver ngoma imewekwa na AS ROMA, niambie jee baada kuwatoa miamba utakwama Italy?
HahahahahaSalaam kwa wagumu wote
Good afternoon ledadaMorning mzee wa liver
Naona nchi nzima hali ya hewa nzuri sanaWeekend ya mvua na mawingu
KinomaHahahahha Unayakubali eeeeh ???
TrueMvua ni baraka, maji ni uhai