Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
Madrid wange wanyosha tena wange enjoy mpura wenu wa kutanua uwanjaBasi walete Madrid kama unaona ndio wazuri
Madrid wange wanyosha tena wange enjoy mpura wenu wa kutanua uwanjaBasi walete Madrid kama unaona ndio wazuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukiwa addicted na haya madude hatari sana hila mazuri kinomaKweli mkuu...
Nilifululiza kwenda kuyanunu sehemu fulani hivi hadi ikawa kila jioni nakuta wameshatengeneza!
Hii Kali unaombea timu yako ifungwe hahahahMashabiki wa Arsenal waamini kupangwa dhidi ya Atletico Madrid katika Europa Ligi itawapa ‘hukumu sahihi’ kwa sababu Arsene Wenger atatimuliwa wakitolewa au atabaki kwa kuwapa ubingwa na kupata tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
why do u like so much stuffs like these?
My dear hii kiitaalamu inaitwaje Nyoka kubandua gamba la juu
snake goddess
Wewe subiri kipigo tuMadrid wange wanyosha tena wange enjoy mpura wenu wa kutanua uwanja
Sema yananenepesha sana kama hufanyi mazoezi!Ukiwa addicted na haya madude hatari sana hila mazuri kinoma
Ni kwel eti nyoka hasipo uawa/sababishiwa kifo, anaishi milele?!My dear hii kiitaalamu inaitwaje Nyoka kubandua gamba la juu
Nani kasema!!Ni kwel eti nyoka hasipo uawa/sababishiwa kifo, anaishi milele?!
Hiyo nadhalia umeitoa wapi mkuu?Ni kwel eti nyoka hasipo uawa/sababishiwa kifo, anaishi milele?!