Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji106][emoji106][emoji106], pendaneni bwana[emoji28]Ila nimekuelewa bwana
Ni rahisi nyie wanawake kuambiana mnapendana
Ila kwetu sisi its awkward
[emoji106][emoji106][emoji106], pendaneni bwana[emoji28]Ila nimekuelewa bwana
Ni rahisi nyie wanawake kuambiana mnapendana
Ila kwetu sisi its awkward
[emoji3][emoji23][emoji28], hatariWameshalegea wagumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante,Sijajua, ila kwa kuvua gamba anakua mpya hivyo huwa mwepesi sana(sensitivity)
Kugundua hatar mapema, na kupambana na adui kwa haraka zaidi kulikoni hapo hawali kumfanya aishi miaka mingi
Nimejaribu kuifungua akili mkuu.
Nauli yako tu[emoji4]Asee itabidi unipe mualiko wa kicheki movie sku moja
Hahahaaa[emoji106][emoji106][emoji106], pendaneni bwana[emoji28]
Mchukue shogako muende mkatubu. Hali inazidi kuwa tete kwa kweli. Siku inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bagoshaaa, duh kama najiona vile nikidondokea kwenye tuvikombe na kutoshamo baada ya kulimwa makofi na kusukumwa huko,team nandy tuna sheeda
Habari za jioni msukuma,Mashing'weng'we. Blogspot.com [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kulingana na maandiko kila dhambi inasameheka (isipokuwa moja tu ya kumkufuru Roho Mtakatifu) mtu akitubu kwa dhati kabisa kabisa. Bado haijawa too late. Bado nasameheka [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shimba kanishinda duh hata akitubu too late
Nzuri mkuu. Wewe huko unaendeleaje? Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku hii [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Habari za jioni msukuma,
Brotherhood
Asante kwa maelezo ya kina. Anzisha hiyo mada. Nami nitatupia vijisenti vyangu viwili vitatu....Mungu Akubariki. Najihisi kama vile nimetoka madhabahuni [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huku kwema sana mkuu,Nzuri mkuu. Wewe huko unaendeleaje? Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku hii [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Aah sawa ex baba paroko😀😀Kulingana na maandiko kila dhambi inasameheka (isipokuwa moja tu ya kumkufuru Roho Mtakatifu) mtu akitubu kwa dhati kabisa kabisa. Bado haijawa too late. Bado nasameheka [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Siku ipo poa tukinyeshewa na mvua ya kutosha. Huko panekucha salama?Mchukue shogako muende mkatubu. Hali inazidi kuwa tete kwa kweli. Siku inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Niliwahi kusoma mahala zamani kuhusu hili suala. Halina misingi katika sayansi ya ubongo bali wamekazia sana Eureka moment - ile moment ambapo jiniazi anajiwa na utatuzi wa tatizo lililomsumbua kwa muda mrefu kwa ghafla! Archimedes - yule mwanasayansi wa kale wa Athens - alipata suluhisho la jinsi ya kupima ujazo wa irregular shapes (taji la mfalme aliyekuwa amedhulumiwa dhahabu na sonara mkorofi) akiwa anaoga kwenye swimming pools za umma mjini Athens. Kwa furaha aliyokuwa nayo alivuvumka kutoka majini na kuanza kukimbia barabarani uchi huku akipiga makelele Eureka! Eureka! Eureka! (Nimegundua! Nimegundua! Nimegundua!). Watu wa Athens walipomuona walifikiri kuwa ameehuka. Na huu ndiyo ukawa mwanzo wa imani kuwa hawa majiniazi wengi huwa wana kaukichaa vichwani mwao.Hii nadhalia kwa namna moja ama nyingine ni kweli.View attachment 744352
Salama kabisa. Joto balaa....Tumshukuru Mungu.Siku ipo poa tukinyeshewa na mvua ya kutosha. Huko panekucha salama?
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Aah sawa ex baba paroko😀😀